Ma name iz Khamis Ahmed..i waz born Nineteen yrz ago in seychelles country na ni Raia wa Bongo-Tzee kwenye web hii utajua zaidi kuhusu me na Fellaz wangu..Holla kinye07@yahoo.com +255-713-866486
"HUYU NDIO SUMA" Huyu Alievaa EarPhone ndio Ismail Khan mzee wa Vimwana...jamaa ana share zake Benki kuu..yaani Noma..Anapatikana Kinoville (Home) pal...
"DOWN NA.." Ninapenda kuwa karibu na mtu nimpendaye..nawapenda marafiki wa kweli na waaminifu..ninapendelea kuogelea..kucheza Basket Ball na kutoka Out..zaidi napendelea kutengeneza Beats na kwenda Club KiLa Weekend..
Hawa ni Dadaz zangu wa Mwisho wawili ambao mmoja ni Jamillah na mwenzie ni Datuu...nawapenda sana wadogo zangu yupo mwengine ila pizc yake Haipo on-line ila soon itawajia..wanapenda sana kubembea..lol
"Da DuDeZ Hawa ni ma Fellaz wangu..all da way kutoka Kinnovile Shire//Tupo Down sana na Beats Maker//Muda mwingi huwa tunautumia tukiwa Home Studio//Tunakwenda kwa jina la D@Dudez